Ticker

10/recent/ticker-posts

PICHA ILIYOSAMBAA DIVA AKIPIGWA BUSU JUKWAANI..MPENZI WAKE CRAZY GK KASEMAJE?JIBU KUBWA LIKO HAPA

GK
Hii imesikika muda mrefu, uhusiano wa Loveness Diva na Crazy GK.. minong’ono ikamfikia Soudy Brown kwamba wawili hao wameachana kisa ni PICHA inayomuonesha Diva akipigana mabusu na star wa Bongo Fleva kwenye show.
Soudy Brown amemtafuta GK ambae amesema hakuwepo kwenye show hiyo, aliziona picha hizo kwenye mitandao na yeye aliona ni tukio la kawaida kwa sababu wote ni watu wa burudani.. ishu ya kuachana kumbe sio kweli, GK amesema bado wako pamoja kama zamani yani.

Post a Comment

0 Comments