Ticker

10/recent/ticker-posts

PICHA YA LEO: DED Mnasi na Diwani Duncan Walivyoshiriki Mkutano wa ALAT Zanzibar

Pichani ni Mhe.Duncan Urassa (kulia) Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha akiwa na Dkt.Haji Mnasi ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Siha wakiwa Zanzibar katika kikao cha kawaida cha kila mwaka cha Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT) kilichozinduliwa na Mhe.Mohamed Mchengerwa (Mb) ambaye ni Waziri wa OR - TAMISEMI..
 

Post a Comment

0 Comments