Ticker

10/recent/ticker-posts

Kocha Miguel Gamondi wa Yanga Afunguka Mzito sikia aliyoyasema haoa sasa"

 

“Nililetwa kwa ajili ya kutetea taji na kuifikisha timu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika hilo nimelifanikisha na kuvuka hadi hatua ya robo fainali ambayo nimetolewa kwa changamoto ya mikwaju ya penalti,”
.
“Najivunia kufundisha timu bora ambayo inauchu wa mafanikio kwa pamoja tumefanya kazi sahihi siwezi kumtaja mchezaji mmoja mmoja kila aliyepata nafasi ya kucheza alikuwa bora na amehusika kwa namna moja ama nyingine kwenye mafanikio tuliyoyapata.”

Post a Comment

0 Comments