Ticker

10/recent/ticker-posts

DIAMOND PLATINUMS AKUTANA USO KWA USO NA OMMY DIMPOZ

Screen-Shot-2014-05-19-at-8.14.04-AMKumekuwa na tetesi.. story za mitandaoni ni kwamba msanii Diamond Platnumzhayuko kwenye maelewano mazuri na rafiki yake msanii Ommy Dimpoz, lakini wote wakiulizwa wanakataa kwamba hakuna ukweli wowote.
Soudy Brown akafikishiwa story nyingine kwamba mastaa hao walikutana lakini hawakusalimiana, huku wengine wakisema kwamba Mwasiti amejaribu kuwapatanisha lakini ilishindikana.
Soudy alimtafuta Dimpoz na kumuuliza ishu hiyo, jamaa kasema alikuwa hajui kamaDiamond alikuwa eneo hilo na kama angemuona lazima wangeongea… hawana ugomvi wowote kwa hiyo ishu ya Mwasiti kuwapatanisha haipo.

Post a Comment

0 Comments