Ticker

10/recent/ticker-posts

Soma alichosema Mbunge Dennis Londo Kuhusu Rais Samia

Mbunge wa Jimbo La Mikumi ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Kudumu ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. DENNIS LONDO,Wiki iliyopita tarehe 10/02/2024 siku ya  Jumamosi, alikabidhi  gari la wagonjwa (Ambulance) kwa wananchi wa kata ya MALOLO jimbo la Mikumi Mkoani Morogoro.

Bada ya Wananchi kulipuka kwa furaha katika mapokezi hayo Mbunge huyo aliwasisitiza kuwa yote kwa yote anaendelea kuwatumikia na kuwawakilisha lakini mwisho alisisitiza zaidi anamshukuru Rais Samia kwa kuendelea kuwaletea fedha za maendeleo wananchi katika sehemu Mbalimbali na yeye anampa Moja Tu```Asante Rais wetu mpendwa Mhe, SAMIA HASSAN.``` 🙏🙏

```Asante Mbunge wetu wa Jimbo La Mikumi Mhe DENNIS LONDO``` 🙏🙏

 "MBUNGE WETU KWA MAENDELEO YA JIMBO LETU" 


Post a Comment

0 Comments