Ticker

10/recent/ticker-posts

YAJUE MAMBO 7 AMBAYO MARA CHACHE UTAAMBIWA AU KUYASIKIA KUHUSU NDOA/MAHUSIANO

YAMKINI ipo siku utaamka katikati ya usiku wa manane na kumtazama aliyelala pembeni yako (ambaye labda unamuita au anajiita mpenzi wako) na kujiuliza “hivi maisha haya na huyu mtu ndo hadi kifo kweli?”(ukitamani walau kuwepo na kaupenyo kakutokea).

Swali hili linasababishwa na aina ya maisha mnayoishi, yamkini penzi mlilokuwa nalo awali haulioni au wote hamlioni tena, imebaki kuonekana tu na watu wa nje kama mnaopendana kumbe ukweli ni kwamba mnaishi tu pamoja “not as lovers but as in mates”.

 SOMA ZAID HAPA

Post a Comment

0 Comments