Ticker

10/recent/ticker-posts

HAYA HAPA MADHARA YA KUCHAJI SIMU USIKU KUCHA...NI HATARI SANA SOMA HAPA

Tabia ya watu kupenda kuchaji simu zao wakati wa usiku au kuacha simu kwenye chaji muda mrefu Kuna madhara Gani yanapatikana ? Je kutaweza kuua Betri LA Simu ? 

Najua watu wengi mmesikia stori tofauti Tofauti Kwa watu wengine wanakuambia kuchaji simu usiku kucha ni hatari utaweza kuhalibu Betri ya simu na kupelekea kufa kabisaTeknolojia ya betri zimekua imara Sana sio kama miaka ya nyuma.

Smartphone zimeundwa na kuwekewa ulinzi ili kufanya Betri pamoja na vifaa vingine kuwa salama.jambo linalopeleka simu Yako kufa haraka ni simu kupata sana joto Kupita kiasi ni hatari kwa afya ya simu.

ENDELEA  KUSOMA ZIDI HAPA

Post a Comment

0 Comments