Ticker

10/recent/ticker-posts

PICHA YA SIKU: Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Emmanuel Nchimbi akiwa na MNEC Atu Kasesela

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg.Atufigwe Kasesela akiwa pamoja na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Emmanuel Nchimbi wakifurahia jambo katika moja ya Matukio muhimu ya kitaifa yaliyowakutanisha viongozi hao.

Post a Comment

0 Comments