Ticker

10/recent/ticker-posts

HABARI PICHA:Ma RC Chongolo na Macha wakutana Bungeni

 

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe.Daniel Chongolo pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe.Anamringi Macha wakifuatilia kwa makini mjadala wa bajeti ya serikali ya OR-TAMISEMI bungeni jijini Dodoma jana.

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel G. Chongolo akiwa pamoja na wakuu wengine wa mikoa wakifuatilia mjadala ya wabunge kuhusu makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya TAMISEMI kwa mwaka wa Fedha 2024/2025 Bungeni jijini Dodoma Jumatano Aprili 17, 2024 

Post a Comment

0 Comments