Mtangazaji Mkongwe wa CloudsFM Gardner G. Habash amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokua amelazwa kwa siku kadhaa akipatiwa matibabu.
Radio Clouds FM tayari imebadilisha playlist yake kwa kuanza kupiga nyimbo za maombolezo kufuatia msiba huo.
Masama Blog itaendelea kukupa taarifa zaidi kuhusu msiba huu, Pumzika kwa amani my Brother G Habash! 🙏🏿🙏🏿
SOMA UJUMBE WA RAFIKI WA KARIBU WA GADNER KINJE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU ALICHOANDIKA KUHUSU GADNER