Ticker

10/recent/ticker-posts

SHAKA HAMDU SHAKA AWAFUTURISHA WASANII MBALIMBALI,YUPO WEMA SEPETU NA WENZAKE..JIONEEKatibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka (leo) Jumamosi 23 April 2022  amekutana na kufanya kikao cha pamoja na kisha  kushiriki iftar na wasanii na mbali mbali  nchini Tanzania, katika hoteli ya Golden Tulip Jijini Dar es Salaam. 
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi Ndg.Shaka Hamdu  Shaka akiwa na Msanii Maarufu Wema Sepetu leo baada ya kushiriki na wasanii mbalimbali Iftar aliyowaandalia wasanii hao katika hotel ya Golden Tulip iliyopo jijini Dar es Salaam. 
 Baadhi ya Wasanii waliohudhuria Iftar iliyoandaliwa na Katibu wa CCM itikadi na uenezi taifa Shaka Hamdu Shaka katika Hotel ya Golden Tulip Jijini Dar es Salaam


Post a Comment

0 Comments