Ticker

10/recent/ticker-posts

Dk. John Pallagyo Amwaga Joshua Nassari Kura Za Maoni CCM Jimbo La Arumeru Mashariki..ona hapa

Aliyekuwa mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari ameangukia pua katika kura za maoni jimbo hilo ndani ya CCM kwa kushika nafasi ya nne akipata kura 26.

Aliyeibuka mshindi kwenye kura hizo ni mbunge wa sasa anayemaliza muda wake, Dk. John Pallagyo aliyepata kura 536 akifuatiliwa Dan Pallagyo kura 63.