Ticker

10/recent/ticker-posts

Jionee Kilichotokea Baada Ya JK kukutana na Lowasa Kwenye Msiba Wa Kingunge Angalia Hapa



February 5, 2018 Mwili wa Mwanasiasa Mkongwe nchini Mzee Kingunge Ngombale Mwiru unaagwa katika viwanja vya Karimjee Jiji Dar es Salaam muda huu nimekusogezea Picha kutoka eneo la tukio shuka chini kuweza kutazama.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria nia Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Marais Wastaafu Jakaya Kikwete, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa, Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, Makamu wa Rais Mstaafu Gharib Bilal, Mama Maria Nyerere na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo