Ticker

10/recent/ticker-posts

SAKATA LA JACKLINE WOLPER NA HARMONIZE MAPYA YAIBUKA,WOLPER APIGILIA MSUMARI ISHU YA KUMPIGA CHINI HARMONIZE

Malkia wa filamu Jacqueline Wolper amedai kwa sasa anauguza majareha ya moyo aliyoyapata kutoka kwa aliyekuwa mpenzi wake wa zamani, Harmonize.
Wiki moja iliyopita muigizaji huyo aliweka wazi kuwa hayupo tena kwenye mahusiano na muimbaji huyo wa wimbo ‘Matatizo’ kauli ambayo ilileta ukakakasi cha mashabiki wakidhani huwenda ikawa ni kiki