Ticker

10/recent/ticker-posts

IMEFAHAMIKA:HII NDIO SABABU KWANINI WANAWAKE HUPIGA KELELE WAKATI WA KUFANYA MAPENZI.


Ni wakati gani wanawake hupiga kelele wakati wa kufanya mapenzi? Au wakati wanapofika kileleni?au wakati wanaume wao wanapofika kileleni?Uchunguzi wa hivi karibuni umethibitisha swala hili.

Kwa nini wanawake  hupiga kelele wakati wa kufanya mapenzi?
Wanaumee,labda unafikiria kwamba anapopiga kelele ndio kusema kuwa labda wewe ni mzuri kitandani au labda unatwanga vizuri,juu chini ndani yake na mpaka anafika kileleni.Samahani sana kukwambia hili .Hizo sio sababu kwa nini wanawake hupiga kelele wakati wa kufanya mapenzi,kwa mujibu wa uchunguzi uliofanyaika Uingereza zaidi ya asilimia 85 ya wanawake wanapiga kelele nyingi sana ili kuongeza mzuka kwa wanaume wao,uchunguzi uligungua hilo.
Wachunguzi waliwauliza wanawake 70 wanaofanya mapenzi ya namna mbalimbali kwamba wanaweza kufika kileleni kwa kujichua wenyewe,utangulizi wa mapenzi au wakati mwanaume akimuingilia.Wachunguzi walitaka kujua pia ni kiasi gani cha sauti ambacho wanawake walitoa wakati wa kufanya mapenzi na shughuli zote za mapenzi na sababu ilikuwa ni nini mpaka wakapiga makelele hayohttp://www.mambomsetotz.com/2015/08/imefahamikahii-ndio-sababu-kwanini.html
Wanawake wote katika uchunguzi huo walisema kuwa walipiga kelele kitandani ikiwa ni kutaja jina la wapenzi wao,au kusema ongeza tena,haraka,polepole nk.Lakini wachunguzi walishangazwa walipolionganisha kelele wakati wa kufika kileleni na kabla ya kufika kileleni
Linapokuja swala la makelele,walipiga makelele wakati wa kufanya mapenzi,kabla na baada ya wapenzi wao kufika kileleni.Ndio sababu wa wanawake kufika kileleni ilikuwa ni kupandisha mizuka ya wapenzi wao.Zaidi ya hayo karibu asilimia yote 80 walisema kuwa walifika kileleni wakijua kuwa hata uwezekano wa wao  kufika kileleni haupo.


Kwa namana nyingine ni kuongeza mzuka wa wapenzi wao,ili tu kuharakisha tendo la mapenzi hata kama wanakereka na tendo lenyewe.Kwa namna nyingine ni kuharakisha tendo mpenzi wake afike kileleni ili aende zake hata kama hafurahii tendo.
Yap,wanawake wanaweza kutumia sauti zao kukotrol jinsi wapenzi wao wanavyojisikia wakati wa kufanya mapenzi na wakati anapofika kileleni,uchunguzi ulihitimisha.Na kwanini walifanya hivyo?Kuwahadaa wanaume kwa faida zao wenyewe wakati wa kufanya mapenzi.
Kuongeza mzuka wa wapenzi wao kwa kupiga makelele kunaweza kusaidia kuongeza uhusiano kati wa wapenzi hawa wawili,kwa sababu wanaume wengine wanapenda kelele sana.Lakini kunafaida pia kwa mwanamke anapokuwa hataki tendo ila mwanaume unakazana kumlazimisha,au mwanamke anapokuwa anasikia maumivu wakati wa tendo.Huwa wanapiga kelele hizo ili kuharakisha mwanaume afike kileleni mapema na kufanya shughuli  nyingine