Ticker

10/recent/ticker-posts

HEBU SIKIA MIPASHO YA DIDA SHAIBU WA TIMES FM LEO..AWAFUNDA WANAWAKE JINSI YA KULINDA MAHUSIANO YAO


dida shaibu dida shaibu Nakugawia bureeee anakwambia mwanaume hanuniwi unatakiwa umchekee sio unanuna km umepoteza nauli ...Toto la kitanga unambiwa haingii studio na macounter book anatiririka km maji ya mlimakilimanjaro ..dida mtoto Wa kishua haloi hata Kwenye mvua dida unatoaga Wapi hivi vi maneno dah penda sana dida wangu Mungu nilindie dida wangu guys msisahau kumpigia kura mtangazi Wa redio anae pendwa zaidi na kipindi cha radio ninacho pendwa sana Ama nene

Post a Comment

0 Comments