Ticker

10/recent/ticker-posts

MASTAA HAWA WAJIWEKA KITANZINI BAADA YA VIDEO IKIONYESHA WANAVUTA BANGI KUVUJA.

one
Wakati wakiwa kwenye ziara yao nchini Peru, Nyota wa kundi la One Direction Zayn Malik na Louis Tomlinson wameonekana wakivuta bangi wakiwa njiani na tukio hilo kuvuja kwa njia ya video hali iliyopeleka baadhi ya mashabiki wa shoo yao kuchoma moto tiketi za ziara hiyo.
one2
Chombo kimoja cha habari kimefanikiwa kuidaka video hiyo ya dakika 5 ikionyesha nyota hao wakivuta bangi na kuongea maneno yaliyowakera baadhi ya mashabiki wao.
one3
Baadhi ya mashabiki walikasirishwa sana na kipande cha video hiyo na kuwazungumzia mastaa hao kuwa hawajali mashabiki wao ambao wengi ni vijana na kuwafundisha tabia zisizofaa huku wengine wakiweka picha mitandaoni wakiwa wanachoma tiketi za shoo hiyo.

Post a Comment

0 Comments