Ticker

10/recent/ticker-posts

WEMA SEPETU UTAMUONA NA MASTAA WOTE LAKINI STAA HUYU HATARII



 Wanasema kua kikulacho ki nguoni mwako, msemo huo kwa Wema utakua unamgusa sana. Kitambo hicho Wema na Penny ( X wa Diamond ) walikua mashosti ile mbaya lakini ushosti huo uliishia pabaya pale Wema alipogundua kua Penny anakula kijanja muhogo wake ( Diamond Platnumz )

Japo kua hii si ishu mpya sana but nimeona leo niwaletee picha za wawili hawa Wema na Penny walipokua mashost kabla. Kwa sasa Wema kashikilia usukani wa Moyo wa Diamond na inasemekana mwakani huenda tukawalia wali ( Ndoa ) Tazama picha hizo hapo chini.

Post a Comment

0 Comments