Ticker

10/recent/ticker-posts

Eng.Victor Seff Akagua maendeleo ya Utekelezaji wa mradi wa RISE Mkoani Iringa

 

Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor H. Seff pamoja na Timu ya Utekelezaji wa mradi wa RISE toka TARURA na TANROADS wakikagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi za Mhandisi Mshauri wa mradi wa RISE inayoendelea kujengwa eneo la Ngelewala katika wilaya ya Iringa mkoani Iringa. Ofisi hiyo ikikamilika itaongeza ufanisi katika utekelezaji wa mradi.
Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor H. Seff, akipokea taarifa ya utekelezaji wa mradi wa RISE kutoka kwa timu inayotekeleza mradi huo mkoani Iringa leo tarehe 13 Machi,2024. Mradi wa RISE unatekelezwa mkoani Iringa katika wilaya ya Iringa na Mufindi, barabara zitakazonufaika na mradi huo ni barabara ya Wenda -Mgama Km 19 na barabara ya Mtili -Ifwagi Km 14 zote zinajengwa kwa kiwango cha lami.

Post a Comment

0 Comments