Ticker

10/recent/ticker-posts

Chongolo,Macha,Mndeme na Wengine Waapishwa na Rais Samia leo Dar es Salaam

 

Viongozi mbalimbali (Wakuu wa Mikoa Anamringi Macha,Paulo Cahacha,Kanali Patrick Kenani na Daniele Chongolo pamoja  Naibu Katibu Mkuu (Muungano na Mazingira Christine Mndeme) na Waziri Kindamba (Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi yaendayo Haraka (UDART) wakila Kiapo cha Maadili kwa viongozi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Daniel Godfrey Chongolo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.

Mhe. Daniel Godfrey Chongolon akila kiapo mbeleya Rais Samia kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.


Post a Comment

0 Comments