Ticker

10/recent/ticker-posts

Ahmedy Ally wa Simba Akiri 'Tumehadhibiwa Mpizani Katuzidi'..Soma alichosema hapa

 

Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amekiri kwamba kwenye mchezo wa Watani wa jadi leo Simba imezidiwa na Mpinzani wake Yanga SC na kuadhibiwa kwa bao tano kwa moja.

Ahmed amesema “Leo tumezidiwa na Mpinzani wetu na hatimaye tumeadhibiwa, hakuna unachoweza kusema zaidi ya kukiri udhaifu kwa upande wetu”


Post a Comment

0 Comments