Ticker

10/recent/ticker-posts

DK.ABBASI AMUWAKILISHA WAZIRI MCHENGERWA TAWA IKISAINI (MOU) NA GREEN CORP YA SINGAPORE

 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, leo Mei 19, 2023, Dar es Salaam, amemuwakilisha Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Mohamed Mchengerwa kushuhudia utiaji saini wa Makubaliano ya Awali (MoU) kati ya Mamlaka ya Hifadhi ya Wanyamapori (TAWA) na kampuni ya GreenCop kutoka Singapore, katika masuala ya biashara ya hewa ya ukaa.


Hafla hiyo imefanyika katika Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT), Dar es salaam.

Post a Comment

0 Comments