Ticker

10/recent/ticker-posts

WAZIRI DKT. PINDI CHANA AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI BAJETI KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA NA TUME YA UKIMWI

 Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Bw. Gerald Kusaya akichangia hoja wakati wa kikao cha kujadili Bajeti ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana  na Dawa za Kulevya   (DCEA)  katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Ngome  Jijini Dodoma.


 Waziri wa Nchi  Ofisi ya Waziri  Mkuu anayeshughulikia ( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao cha kujadili Bajeti ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana  na Dawa za Kulevya katika (DCEA) kaika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Ngome Jijini Dodoma.

Baadhi ya washiriki katika kikao hicho ambao ni watumishi wa ofisi ya mamlaka ya udhibiti wa dawa za kulevya wakimsikiliza na kushiriki mjadala huo wa bajeti uliofanyika chini ya  Kamishna  Gerald Kusaya pamoja na Waziri Dkt. Pindi Chana.

Post a Comment

0 Comments