DOWNLOAD APP YETU HAPA

HOMA YA WATANI WA JADI YAZIDI KUPANDA: mashabiki wa Yangu waliosafiri kwa baiskeli kutoka Mtwara wawasili Makao Makuu ya Klabu hiyo Jangwani,jijini Dar

  Masama Blog      

Hatimaye mashabiki watatu wa timu ya Yanga SC waliosafiri kwa baskeli kutoka mkoani Mtwara wamewasili leo Jijini Dar es Salaam tayari kuipa nguvu timu yao kwenye mchezo dhidi ya Simba takaochezwa Jumamosi tarehe 4, 2020 kwenye Uwanja wa Taifa.
Safari hiyo ilianza Desemba 28, 2019 , hivyo wametumia takriban siku tano njiani. .


 Mashabiki wa Yanga waliotoka mpakani mwa Tanzania na Msumbiji huko Mtwara kwa usafiri wa basikeli wamewasili salama katika makao makuu ya Klabu hiyo  JANGWANI jijini Dar es Salaam

.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2SIiVCx
via
logoblog

Thanks for reading HOMA YA WATANI WA JADI YAZIDI KUPANDA: mashabiki wa Yangu waliosafiri kwa baiskeli kutoka Mtwara wawasili Makao Makuu ya Klabu hiyo Jangwani,jijini Dar

Previous
« Prev Post