Kilele cha Fursa 2019 kufanyika kesho Desemba 7 ukumbi wa Julius Nyerere Convetion Cente Dar Es Salaam

  Masama Blog      
Kilele cha Fursa 2019 kinatarajia kufanyika kesho Desemba 7  kwenye ukumbi wa Julius Nyerere vConvetion Cente (JNICC) Dar Es Salaam 
Katika semina hiyo ya fursa utasikia watu mbalimbali wakielezea mafanikio yao  na namna walipoanzia na kupata mafanikio ikiwemo wasukuma mikokote mpaka wauza miguu ya kuku na mtengeneza kucha.

Dar ya ndoto itaendeshwa na Mkurugenzi wa fursa Suma Mwaitenda,Mkuu wa Mkoa wa Dar Salaam Paul Makonda na Joseph Kusanga Mkurugenzi wa Clouds 
Fursa  2019 ambayo imeletwa kwenu na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni-Brela, usichukulie poa nyumba ni choo, clouds, vijana think tank, tacaids, uhuru hospital, R ¥O Tours and Safaris├┤from MICHUZI BLOG https://ift.tt/360qiIW
via
logoblog

Thanks for reading Kilele cha Fursa 2019 kufanyika kesho Desemba 7 ukumbi wa Julius Nyerere Convetion Cente Dar Es Salaam

Previous
« Prev Post