BREAKING NEWS: MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI MAOMBI YA LISSU UBUNGE JIMBO LA SINGIDA MASHARIKI

  Masama Blog      
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi yaliyofunguliwa na aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na kusema kuwa ili kutekelezeka kwa maombi hayo ni lazima kuwepo na uvunjwaji wa katiba

Jaji Sirilius Matupa amesema mleta maombi (Lissu) katika maombi yake ana hoja katika  lakini alipaswa kupinga uchaguzi na sio kuapishwa kwa Mbunge wa jimbo hilo, Miraji Mtaturu kwani kuapishwa ni haki yake.

Amesema haiwezekani Jimbo moja likawa na Wabunge wawili  na kwamba ili haki itendeke lazima katiba ivunjwe jambo ambalo haliwezekani.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2N4DMOo
via
logoblog

Thanks for reading BREAKING NEWS: MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI MAOMBI YA LISSU UBUNGE JIMBO LA SINGIDA MASHARIKI

Previous
« Prev Post