Ticker

10/recent/ticker-posts

Saudia yamtangaza bintimfalme kuwa Balozi wake nchini Marekani


Saudi Arabia imetangaza kwamba binti mfalme Rima bint Bandar al-Saud atakuwa balozi wake nchini Marekani akiwa Mwanamke wa kwanza kuwa Balozi wa Ufalme huo.

Uteuzi wake ulifanywa hadharani kwa amri ya Ufalme huo Siku ya Jumamosi, Bintimfalme Rima aliishi Washington DC nchini Marekani katika kipindi kirefu cha utoto wake.

Anachukua wadhfa huo wakati mgumu , huku Saudia ikijaribu kukabiliana na hisia za Jamii ya kimataifa kuhusu mauji ya Mwanahabari Jamal Khashoggi.



from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2Ed4WMb
via

Post a Comment

0 Comments