Ticker

10/recent/ticker-posts

INASIKITISHA SANA…WAWILI WAUA WAKE ZAO NA KUJINYONGA KISA HIKI HAPA

Kwa mijubu wa tarifa iliyotolewa na kamanda wa polisiRukwa tukio la kwanza lilitokea katika kijiji cha Msia wilayan Sumbawanga.Tukio la kwanza Theresia suleimani aliuwawa na mme wake aitwaye Patric kipesa kutokana na wivu wa kimapenzi Alisema juzi kwenye majira ya saa moja asubuhialisema mtuhumiwa huyo alimuua mke wake kwa kumkata na shoka kisha naye kujia kwa kujinyonga.Ni baada ya mtuhumiwa kuhisi mke wake anamahusiano ya kimapenzi na mwanaume mwengine kupelekea kufanya mauaji hayo.