Ticker

10/recent/ticker-posts

JACKLINE WOLPER NISHA WATIBUANA VIKALI KISA HARMONIZE,NISHAA AKUBALI YAISHE AAMUA KUJIWEKA KWA RAYMOND

WolperDrama za mastaa wa bongo movies hazeshi (no typo). Jacqueline Wolper na Salma Jabu maarufu kama Nisha wamepishana lugha huku Harmonize akiwa chanzo.
Wolper
Wolper
Issue ilianza vingine kabisa. Nisha alipost picha inayowaonesha Ben Pol, Raymond, Nuh Mziwanda na Rich Mavoko na kuandika: Mmoja kati ya hawa amejaa kwenye galary ya simu yangu na moyoni mwangu,otea A B C AU D? enhe. he sa hv siweki hadharani maana nna phd ya kunyakuliwa, sa hivi ni kumpost kwa mwendo kasiii yaani wengi wengi simtaji ng’ooo.
Watu walicheka, walifurahi na kucomment hadi pale comment ya mwana bongo movie mwenzake, Jacqueline Wolper ilipobadilisha kabisa hali ya hewa.