Ticker

10/recent/ticker-posts

BREAKING NEWS :SHUHUDIA PICHA ZA DK MAGUFULI AKILA KIAPO LIVE

Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli na Mama Samia wameshakula kiapo muda mfupi uliopita kuiongoza #Tanzania kwenye awamu ya tano.