Ticker

10/recent/ticker-posts

IVI NI KWELI WEMA NA AUNT EZEKIELI WANABIFU?? SOMA HAPA MAPYA KATI YAO

  Siku chache zilizopita Ant Ezekiel alifanya Baby shower kwa ajili ya mtoto atakaezaliwa, party ambayo ilihudhuriwa na mastaa kadhaa wa Bongo isipokuwa rafiki yake Wema Sepetu kitu ambacho
kimetafsiriwa kuwa wana matatizo marafiki hao wa karibu kwa muda mrefu sasa.
Stori hii imeunganishwa na ile ishu ya Zari All White Party ambayo ilifanyika wiki 2 zilizopita ambapo Ant Ezekiel alipost ujumbe kwenye Instagram ukiizungumzia show hiyo, kitu ambacho kinasemwa kuwa ilikua ni sawa na kumsaliti Rafiki yake Wema Sepetu ambaye siku hiyo alikua Mwanza.

Post a Comment

0 Comments