Ticker

10/recent/ticker-posts

STORI ZA AYOTV! MENINAH ANAWATAKA NANI NA NANI PAMOJA? YA OMMY DIMPOZ JE? BANKY W NA DIAMOND VP?

MeninahNi kwenye muendelezo wa zile stori za AyoTV ambayo itakua inakusogezea video fupifupi za stori kubwa za Tanzania na mastaa wake kila wakati inapobidi zikufikie.
Leo tunae mwimbaji wa bongofleva Meninah akieleza anawataka wakina nani pamoja, Labda hutopenda haya maneno ya mwisho ya Ommy Dimpoz kuhusu Wema Sepetu yakupite, na pia tuko na staa wa muziki Banky W kutoka Nigeria na fikra zake kuhusu Diamond.