Ticker

10/recent/ticker-posts

PETITMAN AFUNGUKA HATA KAMA DIAMOND NI SHEMEJI YANGU SIWEZI KUMACHA WEMA SEPETU..SABABU HIZI HAPA


Mpambe na Rafiki Mkubwa wa Wema Sepetu Petit Man Amesema Kamwe Hawezi kuachana na Wema eti kwa Sababu Shemeji yake Diamond Ana mahusiano na Mwanamke mwingine.. Kauli hiyo inaashiria kwamba Petman yupo tayari kunyang'anywa Mke endapo uhusiano wake na Wema Sepetu hautaipendeza familia ya Diamond kuliko kuvunja uhusiano na Wema Sepetu ..
Petitman ameyasema hayo akiwa na Ommy Dimpoz alipokuwa akitambulisha nyimbo yake mpya katika vyombo mbali mbali vya habari Alisema "Mimi na Wema ni Damu Damu ...ila mambo ya mahusiano kila mtu na mambo yake hatuingiliana wala kuwekeana mipaka "