Ticker

10/recent/ticker-posts

BAADA YA MAZISHI YA BABA YAO P SQUARE, PETER ALITUMIA MUDA HUU NA MARAFIKI ZAKE…

.
Jennifer Enwemnwa, mfanyabiashara Abdulsamad Rabiu, Freda Francis Edewor, Lola Omotayo na Peter Okoye
Siku ya Ijumaa January 30 ndugu jamaa na marafiki wa familia ya mzee Moses Okoye walikutana kwenye mazishi ya mzee huyo ambaye ni baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, Peter na Paul Okoye ‘P Square‘, mazishi hayo yamefanyika miezi miwili tangu mzee huyo afariki kwa kuanguka akiwa anashuka ngazi ndani ya nyumba.
.
Peter akiwa na mkewe pamoja na marafiki zake.
Baada ya kufanyika kwa mazishi hayo, Peter aliamua kujumuika na familia yake pamoja na marafiki zake ikiwemo mfanyabiashara mkubwa wa Nigeria, Abdulsamad Rabiu ndani ya boti yao.
Hizi ni baadhi ya picha zikimuonyesha Peter pamoja na mkewe Lola Omotayo wakifuraji.
peter2
peter3
peter
peter9
peter6
peter5
Peter I
Peter II
.
Mfanyabiashara Abdulsamad Rabiu na Peter Okoye.
chanzo:Millardayo.