Ticker

10/recent/ticker-posts

HARUSI NZUUURI SANA




                                                       
                                 
                           





DICKSON BIYA NA NEEMA MBOGONI WALIPENDEZA SANAAA



INNOCENT NA HANIFA WALIVYOMEREMETA 

 Maharushi wakiwa ni wenye nyuso za furaha na bashasha tele.

 Mdau Innocent Melleck na mkewe Hanifa Hussein wakikata ndafu wakati wa tafrija ya ndoa yao iliyofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Sunset (Tembo Hall),Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
 Maharushi Innochent Melleck na mkewe Hanifa Hussein wakiwa sambamba na wapambe wao kwenye tafrija hiyo ya ndoa yao iliyofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Sunset (Tembo Hall),Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
 Bwana Hasuri Innocent Melleck
Bi. Harusi Hanifa Hussein.
 Matron (jina kapuni)
 Maharusi na wapambe wao wakiwa hai tebo.
 JOSEPH NA SARA WALIPENDEZAJE?








Post a Comment

0 Comments