STORY; JINI MAHABA ANANIFANYA VIZURI KIASI SITAMANI MWANAUMEYOYOTE...NISAIDIENI PLEASE!! | Masama Blog


STORY; JINI MAHABA ANANIFANYA VIZURI KIASI SITAMANI MWANAUMEYOYOTE...NISAIDIENI PLEASE!!


Mimi ni msichana wa miaka 29 , nina tatizo ambalo limenifanya mpaka sasa sijaolewa na umri unakwenda , nimekuwa nikisumbuliwa na jina mahaba huwa linanitokea usiku wa manane na kufanya mapenzi na mimi ..hali hii imekuwa kwa miaka saba sasa , na cha ajabu huwa tukifanya mapenzi katika hiyo hali huwa naridhika kabisa yaaani acha tu  kiasi kwamba wavulana siwapendi hata kidogo na wala sisikii raha nikifanya nao kiasi naishia kuwaacha..nimejaribu kuwa na boyfriends wengi tu ila mapenzi hayaduma naishia kuwachukia .....Umri unaenda nahitaji kuolewa ila siwapendi wavulana nawachukia sana.....nifanyeje ili niwe msichana wa kawaida na hili jina mahaba litoke ?

SHARE NA WASHKAJ WAJANJA #SNWW 

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200