MKAKA ALIYEFANYA MAPENZI NA MTOTO WA DARASA LA NNE NA KUJITANGAZA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII,ASAKAMWA NA WANANCHI | Masama Blog


MKAKA ALIYEFANYA MAPENZI NA MTOTO WA DARASA LA NNE NA KUJITANGAZA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII,ASAKAMWA NA WANANCHI

Mkaka huyo amesababisha watu wajae na hasira kali baada ya kuposti picha mitandaoni akijisifu kufanya mapenzi na mtoto mdogo wa darasa la nne.


Jina la mkaka huyo anafahamika kama Mohameda Alfayo ameposti picha facebook akifurahia na kusema kwamba ametembea na amekuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtoto mdogo.

Inawezekana kwamba akaunti yake ya facebook ilivamiwa na watu wengine au waharifu wa mtandao lakini ukiangalia kwa makini inaonyesha kwamba ndio tabia zake hizo za kutembea na watoto wadogo.

Hii ndiyo picha Mkaka huyu ndiyo anaye daiwa kutembea na wasichana wadogo.


Mkaka huyo inadaiwa kuwa aliposti picha hiyo facebook,haijafahamika kwamba ni kweli hiyo ndiyo picha yake halisi kabisa kama kwwli ni jina lake la Mohamed Alfayo,labda kuna mtu ameingia kenye akaunti yake ya facebook na kupost picha hizo pasipo yeye kufahamu.
Wananchi katika mitandao ya kijamii wamepiga kelele kubwa sana wakidai kuwa mkaka huyo inabidi awekwe chini ya ulinzi,na wakaenda mbali zaidi kwa kudai kwamba kama wangekutana nae basi wangempiga ipasavyo kwa tabia yake mbaya.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200