ESMA PLATINUMS AVUNJA UKIMYA,AFUNGUKA KUHUSU BABA HALISI WA DIAMOND PLATINUMS..KUMBE ANAYETAJWA SIYODada wa msanii Diamond platnuz Esma Platnumz amesema hakuwahi kumtabiria wala kutegemea kuwa kaka yake Diamond angekuja kuwa mtu maarufu kimataifa japo alikuwa akionesha kupenda muziki tangu akiwa mdogo.Hata hivyo Esma amesema maswala yanayoandikwa kwenye magazeti kuhusiana na Baba yake siyo ya kweli kwa kuwa yeye anamfahamu baba yake mzazi na mtu aliyejitokeza kwenye magazeti siyo baba yake na hamfaham kabisa.Pia Esma hakusita kuongelea taarifa zilizozagaa kwamba mama Daimond hana mahusiano mazuri na wifi yao Zari na kusema hawana tatizo lolote na wifi yao na hakuna mzazi asiye furahia wajukuu hivyo watu wanayoyaona katika magazeti siyo ya kweli na wasiyatilie mkazo, huku akimalizia kwa kusema kuwa anampenda mume wake Petit Man

Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top