Ticker

10/recent/ticker-posts

Inasemekana Max Nzengeli Alikataliwa na Simba Kisa hiki hapa

Kwa mujibu wa ripoti kutoka ndani ya klabu ya Simba zinaeleza kuwa, viongozi wa klabu hiyo walimkataa Maxi Mpia Nzengeli kutokana na mwonekano wake ulivyo.

Viongozi waliompokea kwa mara ya kwanza hawakupendezwa na namna anavyoonekana wakiamini mchezaji wa maana hawezi kuwa na mwonekano kama wake.

Kwa mujibu wa ripoti inaeleza kuwa viongozi hao walihitaji mchezaji mwenye mwonekano kama Willy Essomba Onana.

Edgar Kibwana 

Post a Comment

0 Comments