Ticker

10/recent/ticker-posts

Haya hapa Majina ya Wachezaji Wote wa Yanga Waliosajiliwa CAF 2023/24

 

Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa majina yote na nafasi zote ambazo ziliainishwa kwenye ripoti ya aliyekuwa kocha wao, Nasreddine Nabi, majina ambayo yamepitishwa na kocha wao mpya, Miguel Gamondi.

Dirisha la CAF limefungwa jana Julai 31, 2023 lakini dirisha la TFF bado liko wazi kama kocha atahitaji tumuongezee mtu tutafanya hivyo.

Yanga imesajili majina haya (CAF).


Makipa 

  •  Djigui Diarra - Mali 
  • Metacha Mnata - Tanzania 
  • Aboutwalib Mshery - Tanzania


Mabeki wa pembeni 

  • Yao Attohoula - Ivory Coast 05 
  • Kibwana Shomari - Tanzania 06
  • Joyce Lomalisa - Congo 
  • Nickson Kibabage - Tanzania


Mabeki wa kati 

  • Gift Fred - Uganda 
  • Bakari Mwamnyeto - Tanzania 
  • Ibrahim Bacca - Tanzania 
  • Dickson Job - Tanzania


Viungo 

  •  Pacome Zouzoua - Ivory Coast 
  • Zawadi Mauya - Tanzania 
  • Mudathir Yahya Abbas - Tanzania 
  • Khalid Aucho - Uganda 
  • Salum Abubakar Sureboy - Tanzania 
  • Jonas Mkude - Tanzania 
  • Stephane Aziz Ki - Burkina Faso


Mawinga 

  • Skudu Makudubela - Afrika Kusini 
  • Faridi Mussa - Tanzania 
  • Maxi Mpia Nzengeli - Congo Dr 
  • Jesus Moloko - Congo Dr 
  • Denis Nkane - Tanzania


Washambuliaji 

  •  Crispin Ngushi - Tanzania 
  • Clement Mzize - Tanzania 
  • Kennedy Musonda - Zambia 
  • Hafiz Konkoni - Ghana


Kikosi kamili 23/24 

Wachezaji wazawa — 15

 Wachezaji wa kigeni — 12.

Post a Comment

0 Comments