Ticker

10/recent/ticker-posts

Mambo ya Mastaa: Diamond Amemnunulia Zuchu Meno Bandia ya Mamilioni ya fedha


Msanii  kutoka pale Usafini, Zuhura Othman 'Zuchu' ametupa mchapo mpya kwamba meno ya bandia anayoyabandika mdomoni mwake, yamegharimu takribani shilingi milioni 73.

Zuchu ametema exclusive hiyo leo alipokuwa akifanyiwa mahojiano na Wasafi FM na mtangazaji Lil Ommy ambaye alitaka kujua gharama ya baadhi ya vitu vyake alivyotumia ikiwemo cheni, pete na mazaga mengine.

"Kwa mfano kama meno alinunua around kama dola elfu thelathini (sawa na shilingi Mil. 73)" alisema Zuchu.

 

Post a Comment

0 Comments