Ticker

10/recent/ticker-posts

Waziri Mwigulu Nchemba Afunguka asema "Serikali Haitowaacha Waliotajwa na CAG"

 Waziri Mwiguli "Serikali Haitowaacha Waliotajwa na CAG"

 “Serikali inafanyia kazi hoja za ukaguzi zilizotolewa na CAG na hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya wale watakaothibitika kuwa ni wavunjifu wa sheria na kusababisha upotevu wa fedha za umma bila kujali mkubwa wala mdogo kama alivyoelekeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.” – Dkt. Mwiguli Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango

Post a Comment

0 Comments