Ticker

10/recent/ticker-posts

Mahakama yamuachia huru Mdude wa CHADEMA,Soma Hapa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Mbeya,leo June 28,2021, imemuachia huru kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyangali maarufu kama “mdude chadema” aliyekuwa akikabiliwa na  kesi ya dawa za kulevya.

Post a Comment

0 Comments