Ticker

10/recent/ticker-posts

Mrisho Gambo Aibuka Kidedea Kura za Maoni CCM Arusha Mjini..Jionee Kura zake Hapa

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ameibuka mshindi wa kura za maoni  za jimbo la Arusha Mjini kwa kupata kura 333 akifuatiwa na Philemon Mollel  kura 68 na wakili Albert Msando akipata kura 19.