Ticker

10/recent/ticker-posts

DKT.ABBASI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA KATI YA MENEJIMENTI YA WIZARA NA COSOTA

Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbasi  akiongoza kikao kati ya Menejimenti ya Wizara na Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) leo Julai 20,2020 Jijini Dodoma  mara baada ya Chama hicho kuwasili katika Wizara hiyo ambapo amewataka  kufanya kazi kwa ushirikiano na kasi zaidi ,Huku akisisitiza Serikali ni moja  hakuna mabadiliko yoyote isipokuwa mgawanyo wa majukumu.Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt.Ally Possi. Mkurugenzi Idara ya Utawala na  Rasimimali Watu Bw.Benard Marceline akizungumzia kuhusu muundo wa wa utumishi katika kikao cha Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbasi (Kulia),na Menejimenti ya Wizara na Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) leo Julai 20,2020 Jijini Dodoma  mara baada ya Chama hicho kuwasili katika Wizara hiyo ambapo amewataka  kufanya kazi kwa ushirikiano na kasi zaidi ,Huku akisisitiza Serikali ni moja  hakuna mabadiliko yoyote isipokuwa mgawanyo wa majukumu.Kushoto ni Bw.Rodney Thadeus Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari -MAELEZOAfisa Mtendaji Mkuu wa Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) Bi.Doreen Sinare (kushoto) akijadiliana jambo  na viongozi wa chama wakati wa  kikao cha Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbasi  na  Menejimenti ya Wizara pamoja na chama hicho  leo Julai 20,2020 Jijini Dodoma,  mara baada ya Chama hicho kuwasili katika Wizara hiyo ambapo amewataka  kufanya kazi kwa ushirikiano na kasi zaidi ,Huku akisisitiza Serikali ni moja  hakuna mabadiliko yoyote isipokuwa mgawanyo wa majukumu