Ticker

10/recent/ticker-posts

ARSENAL YATINGA FAINALI FA YAICHAPA 2-0 MAN CITY ,AUBAMEYANG APIGA ZOTE

Mshambuliaji wa kimataifa wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao yote dakika za 19 na 71 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Nusu Fanaili ya Kombe la FA England usiku wa Jumamosi Uwanja wa Wembley, London. Arsenal inakwenda fanali ambako itakutana na mshindi wa Nusu Fanal ya pili Leo kati ya Chelsea na Manchester United