Ticker

10/recent/ticker-posts

RAIS MAGUFULI KUWAAPISHA MABALOZI WATEULE ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI IKULU JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli awaapisha Mabalozi wateule wafuatao :-

1. Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini

2. Dkt. Modestus Francis Kipilimba kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Namibia

3. Profesa Emmanuel David Mwaluko Mbennah kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe

4. Dkt. Benson Alfred Bana kuwa Balozi Tanzania Nchini Nigeria

Hafla ya uapisho inafanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/35PDhg5
via

Post a Comment

0 Comments