MKUU WA MKOA WA MARA ASIMAMIA ZOEZI LA KUACHIWA HURU WAFUNGWA

  Masama Blog      
 Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Adam Malima akiongea na sehemu ya wafungwa 23 walioachiwa katika gereza la Musoma kati ya wafungwa 259 waliofaidika na msamaha wa Rais Mkoani humo.
Mhe Malima, ambae alikuwa ameongozana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya mkoa wa Mara (RAS) Mhe. Carlo Mthaphula,  amewataka wafungwa hao wakamlipe fadhila waliyopewa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kwenda kutenda mema na ya maendeleo katika jamii badala ya kuanza uhalifu upya.from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2rrvZkC
via
logoblog

Thanks for reading MKUU WA MKOA WA MARA ASIMAMIA ZOEZI LA KUACHIWA HURU WAFUNGWA

Previous
« Prev Post