DOWNLOAD APP YETU HAPA

MESHAK FUKUTA AIBUKA NYOTA SHINDANO LA BONGO STAR SEARCH 2019

  Masama Blog      
 
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kulia) akizungumza muda mchache kabla ya kutangazwa kwa mshindi wa Mashindano ya Kusaka vipaji vya Muziki ya BSS 2019 msimu wa kumi yaliyofanyika Desemba  24/2019 jijini Dar es Salama ambapo Meshak Fukuta aliibuka mshindi.
Meshack Fukuta ambaye alikuwa Mshiriki  wa mashindano ya Kusaka Vipaji ya BONGO STAR SEARCH Ameibuka Mshindi wa Mashindano hayo ambapo fainali yake ilifanyika leo Katika Ukumbi wa NEXT DOOR ARENA uliopo Masaki.Meshack Fukuta amefanikiwa kuondoka na Kitita cha Milioni 20.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/35V5D9C
via
logoblog

Thanks for reading MESHAK FUKUTA AIBUKA NYOTA SHINDANO LA BONGO STAR SEARCH 2019

Previous
« Prev Post