WANAMUZIKI NYOTA WAKONGWE WALIPOUNGANA KUFANYAN KAZI PAMOJA

  Masama Blog      


Wanamuziki wakongwe kutoka bendi mbalimbali mwaka 2011 waliungana na kufanya mazoezi kwa asili ya onesho maalumu la sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika. Waimbaji ni pamoja na King Kikii, Hassan Rehani Bitchuka, John Kitime na Waziri Ally, Hamza "Komandoo" Kalala alipiga gitan la solo huku Juma Ubao akipiga Rythim huku tumba likipigwa na Ally Jamwaka wakaty Mafumu Bilali Bombenga, Joseph na Shaaban Lendi wakipuliza Sax.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2pWG0Fq
via
logoblog

Thanks for reading WANAMUZIKI NYOTA WAKONGWE WALIPOUNGANA KUFANYAN KAZI PAMOJA

Previous
« Prev Post